KOREA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 310

Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa shilingi bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za ardhi. Hafla ya utiaji saini wa mikataba hiyo baina ya Serikali ya Tanza na Korea